Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
bila shaka rekodi yangu OT miaka ya hivi karibuni si poa kivile, hata hivyo ni uhakika kabisa kupata ushindi hapo Theatre of Nightmare ...Tatizo ni pale unapojipa matumaini hewa ya kushinda away katika big mechi.wakati msimu huu Liverpool katika mechi za top six sijajua kama mumeshinda mechi za away. Maana kwa kumbukumbu zangu ni
Man CTY away (lose)
Chelsea away (draw)
Arsenal away (draw)
Sasa sijajua hayo matumaini unayapata wapi
Hapa chini ni trend ya matokeo yenu mukiwa OT katika miaka ya karibuni. Na siyo kipindi cha Ferguson!View attachment 1020630
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu mmasai OLE akabidhiwe sime pale OT sio sehemu salama hata kidogo,kimsingi pale ndipo utakapo walk alone while Martial is running.Hahahaha jifiche tu kwenye takwimu enzi za wakina Karius. Sahivi tunawatandika nyie kipigo heavy, it's serious hakuna mtu atakayekubal kupoteza ubingwa hapo OT.
Haya pweza! But mark your words! Ila ukifungwa usijipige ban Bali nikumbushe na u-confess mbele ya umma wa jamiiforum kuwa umekubali kufungwa na ilikuwa wrong hicho ndicho nitakachohitaji kutoka kwako mkuu!Sio kwa man u, kwan wewe kunifunga FA ndio unaona umemaliza, maana siku zote huna mpira wowote zaid unategemea miujiza,
Kiuhalisia huna timu ya kumfunga liver, shukuru tu una upepo na unapata matokeo, lkn timu yako bado ,na kama huamin soon utaniambia ,
Usitambe kisa upepo ,epl ndio ipo hivo, labda uwe kwenye mbio za ubingwa
Wewe man u huwez kupata hata sare kwa liver, liver ana uhitaji na umuhimu wa hiyo mech kuliko wewe,
Ukimfunga liver au kupata sare najipiga ban ya mwez mzima,
Kwa asiyeangalia mpira akisikia mnavyoshinda anaweza kudhan sasa mna timu ya ushind, kumbe upepo tu, next week una upepo unageuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani mwaka huu hamjafungwa! Akiyanani kweli wabongo ni wagumu wa kuelewa .nimekuletea mpaka takwimu bado hataki nahisi hata darasani ulikuwa mzito sana haya ni mashaka yangu.maana nakula points nyingine wewe badala ya kujibu point kwa fact unaniletea taarabu na kahamisha hoja!Hahahaha jifiche tu kwenye takwimu enzi za wakina Karius. Sahivi tunawatandika nyie kipigo heavy, it's serious hakuna mtu atakayekubal kupoteza ubingwa hapo OT.
Mm ninachojua ,liver ana umuhimu mkubwa wa hiyo mech ,hivo hata sare huwez kupata ,zaid utachezea kipigoHaya pweza! But mark your words! Ila ukifungwa usijipige ban Bali nikumbushe na u-confess mbele ya umma wa jamiiforum kuwa umekubali kufungwa na ilikuwa wrong hicho ndicho nitakachohitaji kutoka kwako mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana hata kwenye form bado Liverpool kwa kipindi cha miaka hiyo alikuwa akimaliza juu ya man utd katika EPL .lakini bado kashida mechi moja katka hizo nilizoweka .nakukumbusha kuwa mm siyo mtabiri wq matukio ya mbeleni maana sina kipawa hicho.nataka facts ya matukio yaliyo tokea tayari! Ndio maana hata kwenye betting watu wanaliwa kwakuwa ni wqbahatishaji siyo manabii.ila kama wewe nqbii basi it's OK!Hahahaha jifiche tu kwenye takwimu enzi za wakina Karius. Sahivi tunawatandika nyie kipigo heavy, it's serious hakuna mtu atakayekubal kupoteza ubingwa hapo OT.
Mm ninachojua ,liver ana umuhimu mkubwa wa hiyo mech ,hivo hata sare huwez kupata ,zaid utachezea kipigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi kuona nimekimbia mimi, au ulitaka niache majukumu ya msingi nije nikujibu quote zako?Itabidi ufanye kama nilivyokuambia ikitokea Liverpool ikifungwa.acha tabia zako za kitoto ukifungwa unakimbia huo ni u-coward! Kama ulivyokimbia siku ulipokula 3-1 pale Emirate !
Sent using Jamii Forums mobile app
Theatre of Nightmare is back with a bang....Tangu mmasai OLE akabidhiwe sime pale OT sio sehemu salama hata kidogo,kimsingi pale ndipo utakapo walk alone while Martial is running.
Sent using Jamii Forums mobile app
wouldnt expect anything less than cool 3 points...Utd played against a good team and got turned like peak Huddersfield..
And we were out here worrying about them man
Its a Wrap at OT..
Easy 3 points and we move
kwa namna nilivyoona leo hakika pointi hapa ni mapema sana tunazichukua....
Manyumbu ule ulikuwa upepo tu, tulisema wanajipandia tu mbele, na ndicho kilichotokea leo,Theatre of Nightmare is back with a bang....
here come the show stopper, hivi ni Kimbembe au Kimpembe...
mpaka Feb inaisha tutaelewana tu.
Poor boy as he thot referee ws Ole i mean u cant be yellow carded n b that reckless...Somebody better tell Pogba that, having a masterclass against PSG at home, isn’t for everybody
View attachment 1021013
Mm kitambo nilishawaona , mtawafumua, hawana bek halafu wanapanda tu,kwa namna nilivyoona leo hakika pointi hapa ni mapema sana tunazichukua....
Hawa ndio wale wale tuliowapiga Anfield Fortress hivyo usiwe na shaka...
Aaa kelele hakuna hapo umesema kweli..Manyumbu ule ulikuwa upepo tu, tulisema wanajipandia tu mbele, na ndicho kilichotokea leo,
Sasa wakikutana na pep ,chache sana 4,
Now kelele zimepungua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm kitambo nilishawaona , mtawafumua, hawana bek halafu wanapanda tu,
Leo angekuwepo neymar wangepata kadi timu nzima
Sent using Jamii Forums mobile app