Hahahahaaaa huku mtaani yupo mmoja shabiki nguli wa leicester humwambii kitu kuhusu hilo chama ana mtoto jina lake VARDY......mimi binafsi nimeshuhudia vipigo vikali nikiwa gunnerz kama kile cha 8 dhidi ya man utd na 6 dhidi ya chelsea pia 5 dhidi yenu lakini haikuwa sababu ya mimi kuhama timu,kutukana wachezaji wala kocha sanasana ni kupongeza wapinzani wangu.......huo ni ushabiki ....naamini leo hii hapa liverpool ikipigwa idadi hiyo ya magoli nina uhakika
ipogolo utabaki hapa na
Malafyale mkiuguza majeraha huku kina fekelo wakiingia mitini hahahaaaaaaaaaa
FURAHA YANGU NI KUONA UWEPO WA UWINGI WENU HAPA JAMVINI MAANA NAPATA MENGI SANA KUPITIA NYINYI INGAWA NAJUA IWAPO KAMA MEI IKAWA NDIVYOSIVYO BASI HAPO FEKERO WATAINGIA MITINI.....