Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Msimu huu Liverpool msipobeba kombe lolote kati ya EPL ama UEFA au FA basi mtashangaza sana.

Maana mumekuwa na wakati mzuri sana. Msimu huu mna kikosi chenye potential ya ushindani ..pengine kuliko hata kizazi cha akina Steve Gerrard, Kuty, Torres...

Klopp asipo nyanyua kwapa msimu huu hatonyanyua tena mpka anaondoka England..
 
Jana traore alitiwa mfukoni kabisaa
 
mkuu tubadilishie picha ya squad

tuwekee squad ya 2018/19
 
Pomoja na ushindi mzuri wa jana usiku, na kupata clean sheet nimeona watu wakisifia tu bila kusemea weakness za pale kwenye backline yetu. Kuna erra flani jana tumefanya kama wolve wangekuwa makini hakika ingetugharimu.

Fabinho, dk za mwanzo. Allison, keita na Lovren wote wamefanya makosa ya kijinga ambayo kwa timu makini lazima wakuadhibu. Hizi back passes kwa kweli sizipende japo kuna wakati zinasaidia kupunguza pressure.
 

Back Pass kuna wakati unalazimika Coz unakuwa upo Under pressure Ni lazima uridishe mpera nyuma kwa kukosa Penetration ya forward pass.

Back pass zisizo na maana Ni zile za Hendo ambazo hana pressure yoyote na yupo free huku washambuliaji wakimuomba Mpira na still anapiga Back pass.
 
Klopp sasa hivi ameshajua winning combination ni ipi, Mid ya Hendo-Gini-Milner tutaanza kuisahau taratibu, Fabinho kashavamia nyumba.

Kwasasa Fabinho Haekeki Bench tena.

Ni wazi kuwa Combi yetu ya Kumalizia huu msimu Ni GINI - FABI - HENDO ambayo sio mbaya as long as HENDO atachezeshwa CM ya Namba 8 na akaperform kama Jana kwani ugomvi wetu na yeye ni Kuchezeshwa Namba 6.
 
Klopp sasa hivi ameshajua winning combination ni ipi, Mid ya Hendo-Gini-Milner tutaanza kuisahau taratibu, Fabinho kashavamia nyumba.

Na Jengine Ni Kwamba Game yetu na Newcastle Klopp huenda akafanya Rotation kwa ajili ya michezo ya vs Arsenal & vs Man City.

So, naona dhahiri Clyne na Xhaqiri wataanza hii game, na kati ya Milner na Fabinho watapumzishwa.

Mido huenda akacheza GINI - HENDO - XHAQ

Na Namba 2 atacheza Clyne.
 
Maneno Haya ya Sir Alex Ferguson sitoweza kuyasahau kamwe kwani Ni ukweli mtupu.

"Attack wins you matches but defence wins you titles"


Na Ndiyo ukweli unaonekana wazi baada ya last Season kuwa na Most attacking Force in Europ lakini hatukufanya vizuri EPL.

But this season Hatuna Attacking Force ya kutisha kama last season ila tuna Defence ya kutisha ya ALISSON, GOMEZ, VVD na ROBERTSON ambao wametengeneza ukuta mgumu unaotufanya tufanye vizuri kwenye EPL.

FERGUSON YUPO SAHIHI 100%
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…