Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Naona leo Fabinho anapiga Fullback Right...
Liverpool line-up:
Alisson, Matip, Van Dijk, Robertson, Fabinho, Milner, Wijnaldum, Keita, Shaqiri, Salah, Firmino.
Subs:
Mignolet, Mane, Henderson, Sturridge, Lallana, Origi, Alexander-Arnold.
probably akiona hio 4 3 3 hailete pointi 3 muhimu leo ata switch to 4 2 3 1...na ndio uzuri wa Klopp msimu huu amekua akibadilisha mfumo kama mambo yanakua hayaedi...Leo ningependa tunaingie na formation ya 4-2-3-1 lakini Coach kapanga ya 4-3-3 na wao Wamekuja na Formation ya 4-4-1-1 ambayo Ni ya kushambulia na Kupaki Basi.
But uwepo Wa Keita na Xhaqiri uwanjani kunarihisha kuattack and Score kwa Timu kama hizi zinazojipanga na defending deep.
wakati anasajiliwa Klopp alisema hilo kua Fabinho yupo adpative kucheza midfied na back four...Naona leo Fabinho anapiga Fullback Right...
Liverpool line-up:
Alisson, Matip, Van Dijk, Robertson, Fabinho, Milner, Wijnaldum, Keita, Shaqiri, Salah, Firmino.
Subs:
Mignolet, Mane, Henderson, Sturridge, Lallana, Origi, Alexander-Arnold.
i forbid this...Napoli hatuhitaji wanariadha uwanjani tunahitji ushindi ...probably Keita, Gini, Milner maana kuumia kwa Gomez na Lovren means Fabinho might b covering for them..Our Manager gonna start Henderson against Napoli.
Naona leo Fabinho anapiga Fullback Right...
Liverpool line-up:
Alisson, Matip, Van Dijk, Robertson, Fabinho, Milner, Wijnaldum, Keita, Shaqiri, Salah, Firmino.
Subs:
Mignolet, Mane, Henderson, Sturridge, Lallana, Origi, Alexander-Arnold.
Our Manager gonna start Henderson against Napoli.
Anataka captain atupeleke sweet 16 sio😂😂Our Manager gonna start Henderson against Napoli.
kabisa mkuu!! ili kubalance!! Milner amecheza pemben vizur sana last yearIla right ni bora Acheze Milner over Fabinho