Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

HT. Tulianza vibaya kama dk 20 za mwanzo. Baada ya Mane kukosa nafasi mbili za wazi liver tukaamsha moto.

Sala anafunga magoli mawili. Milne anagonga mtambao wa panya. Tunashambulia. Nafasi tunatengeneza.
Vvd, Lovren,Arnold na Robertson wanacheza vizuri. Ginni kaongeza kitu pale kati.

Mane anatakiwa kutulia. Tungekuwa 3 mpaka sasa.

Pigo ni kuumia kwa OX.

YNWA.
GOD BLESS LIVERPOOL
 
Liverpudlians wamenichekesha sana sio kwa sifa hizo kwenye wimbo waliomwimbia Salah
 
Naomba kukiri wazi kumuogopa Salah maana akili nyingi kuliko mpira wenyewe, an Egyptian is unstoppable anafundisha Messi na dugu yake Ronaldo kufunga bila guvu nyingi
the young Koppite ana kipaji mpaka sasa kazi anaifanya kwa ufundi na utulivu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…