Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Vizur kuishi kwa matumaini itapendeza nae klopp aingie ktk vitabu vya kumbukumbu kubeba uefa.√ Liverpool in
√ Man City in
× Spurs out
× Chelsea out
×/√ Man United out/in
Iwapo itabaki Liverpool na Man City pekee basi itapendeza Zaidi Kwani Tunaweza epuka Kukutana Waingereza Kwa Waingereza Kwenye Robo.
Kwa nini unamuogopa sana sevilla?√ Liverpool in
√ Man City in
× Spurs out
× Chelsea out
×/√ Man United out/in
Iwapo itabaki Liverpool na Man City pekee basi itapendeza Zaidi Kwani Tunaweza epuka Kukutana Waingereza Kwa Waingereza Kwenye Robo.
Vizur kuishi kwa matumaini itapendeza nae klopp aingie ktk vitabu vya kumbukumbu kubeba uefa.
Kwa nini unamuogopa sana sevilla?
Ingekuwa man utd wanapata matokeo kwa matakwa yako sasa hv ingekuwa imeshashuka daraja, pole yako...Jumamosi Man u anakufa 2-1....
Huyu Seri ni mashine nyingine aisee....tukilamba huyu pamoja na Naby pale kati, nafikiri tutakuwa tuko vizuri sana.Thomas Lemar and Jean Michael Seri loading...............
mkuu ni kesho aisee dakika 90+ tutajua nani zaidiIngekuwa man utd wanapata matokeo kwa matakwa yako sasa hv ingekuwa imeshashuka daraja, pole yako...