Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
wow nice to see our very own red Salah among the contenders....The race to Golden boot....
Jumamosi Man u anakufa 2-1....Mmechana mkeka wangu..shwain
Jumamosi Man u anakufa 2-1....
hata sijui wanabet vipi ila Man lazima akaeKusha Beti? π π π
...I said it yesterday after our game!United, Chelsea na hata Tottenham wana hati hati ya kuiona robo fainali!
According to your assumptions inaonyesha England itabaki na Liverpool and Manchester City only!Tottenham anapita, kimbembe kwa Man Utd na Chelsea
Nimewaonea huruma kweli yaani, lakini kama ulivyosema ngoma ya watoto haikeshi!Wazee wa kutegemea lines man leo chaliiiiii na Dembele kawa matembele. UCL ina wenyewe na mwenyewe sio Tottenham
Yule linesman leo hayupo. Mzee wa kuvizia Harry Kane nae kapakatwa na Chiellini. Yule master diver Dele Ali nae ni ngoma ya kitoto tu haikeshi
Wazee wa kutegemea lines man leo chaliiiiii na Dembele kawa matembele. UCL ina wenyewe na mwenyewe sio Tottenham
Yule linesman leo hayupo. Mzee wa kuvizia Harry Kane nae kapakatwa na Chiellini. Yule master diver Dele Ali nae ni ngoma ya kitoto tu haikeshi