Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,473
- 32,926
yaani jana bila VAR tulikua tumelala 5 bila ubishi...kwa makipa hawa hata ununue mabeki wa bei kubwa itakua bure kabisa..Mignolet utadhani kipa wa umiseta!
Arsenal !Aende wapi unadhani
Migs has to GO
Karius has to GO
Liverpool aje kipa mpya na msaidizi Ward
Pia akija Keita hii team bingwa
yaani jana bila VAR tulikua tumelala 5 bila ubishi...kwa makipa hawa hata ununue mabeki wa bei kubwa itakua bure kabisa..
wasiwasi wangu ni Klopp kukosa plan B mapema na kuchelewa kufanya Sub kipindi cha pili...jana Can alishapotea kabisa na baada ya zile sub ndio timu alishambulia kwa mipango..
je kwa uchezaji wa jana kweli Porto na Kubaki Big four jamani si itakua mpaka washidani wetu wapotee...
kwani ww unawajua mashabiki wote wa lvpool waliopo jfLiverpool iachwe na wana Liverpool
Go to your team pls
sijui Klopp anahitaji misimu mingapi ili aweze kujenga timu ya kubeba ndoo?Klopp Bana alimvuruga Migs kisaikolojia halafu akampanga Jana
Our year, next season [emoji1] msemo wetu unaendelea ... hivi mataifa ya Africa mwakani hakuna [emoji29]
Na bet only uefa
Hao makipa Sasa mpaka waje timu yote ishavurugikaMigs has to GO
Karius has to GO
Liverpool aje kipa mpya na msaidizi Ward
Pia akija Keita hii team bingwa
Hapo tu watu watabaki kum-defend Tenasijui Klopp anahitaji misimu mingapi ili aweze kujenga timu ya kubeba ndoo?
Conte msimu wa 1 - EPL
Mourinho msimu wa 1 - Europa & LC
Guardiola msimu wa 2 - atabeba EPL & LC
Klopp msimu wa 3 - ??????!!!!!!

sijui Klopp anahitaji misimu mingapi ili aweze kujenga timu ya kubeba ndoo?
Conte msimu wa 1 - EPL
Mourinho msimu wa 1 - Europa & LC
Guardiola msimu wa 2 - atabeba EPL & LC
Klopp msimu wa 3 - ??????!!!!!!
Porto atafungwa.yaani jana bila VAR tulikua tumelala 5 bila ubishi...kwa makipa hawa hata ununue mabeki wa bei kubwa itakua bure kabisa..
wasiwasi wangu ni Klopp kukosa plan B mapema na kuchelewa kufanya Sub kipindi cha pili...jana Can alishapotea kabisa na baada ya zile sub ndio timu alishambulia kwa mipango..
je kwa uchezaji wa jana kweli Porto na Kubaki Big four jamani si itakua mpaka washidani wetu wapotee...
Ikawaje mkuu[emoji87]Naona Klopp Kaeka Kikosi Kamili katika hii Micky Mouse Cup!
Acha basi kisu. Mzee wa kutahiri
Vp jana vvk na matip walinoga sana ee[emoji28]But Lukaku is more creative for assists on his own goal
Patten mbovu sana. Matip Mzee wa fyongo.Vp jana vvk na matip walinoga sana ee[emoji28]
sijui Klopp anahitaji misimu mingapi ili aweze kujenga timu ya kubeba ndoo?
Conte msimu wa 1 - EPL
Mourinho msimu wa 1 - Europa & LC
Guardiola msimu wa 2 - atabeba EPL & LC
Klopp msimu wa 3 - ??????!!!!!!
Nazani klop anapaswa kumtafuta defensive coach mzuri amjumuishe kwenye jopo lake,,,,,mourinho hana beki wazuri lakin ametengeneza pattern nzuri,,