shavu la kushoto Mane kumi Continho shavu la kulia Salah hio tisa hata tukikuweka wewe una score mkuu
Mkuu Firminho anatumia mwili wake wote ana uwezo wa kutumia kichwa, miguu yote miwili na ana unyumbulifu pia pale kati anapaweza.Mkuu umetisha sana kwa majibu yako ila mii sijaridhika mana yeye namuona kama mpishi mzuri yani kuliko akisubili mbele
Hizo sifa ndo zinanifanya niamini kua anatakiwa awe nyuma ya mtu.Mkuu Firminho anatumia mwili wake wote ana uwezo wa kutumia kichwa, miguu yote miwili na ana unyumbulifu pia pale kati anapaweza.
Samahani wakuu.iwapo tutamsajili Keita atamkalisha nani bench?Henderson au lalana?
Daah...umenifariji sanaCaptain wetu kisigino chake kinamsumbua sana!Kwita ni box to box mido atafaa sana akicheza mbele ya Matip na Van Djiik
Uzuri ni kuwa tuna mmoja wa makocha bora duniani wachezaji wanataja kuja kucheza nae!
Nadhani sasa kucheka kwetu kupo karibu mno!
Kabisa yani. Naby Keita sio wa kulipa pesa nyingi hivyo. Very risk kwa mchezaji ambaye Liverpool hawajawahi mfatilia kwa muda mrefu. Only last season tu. Hatari sana.Hana Bei zaidi ya €50.
Mimi hata hiyo 50 naona nyingi. Bei km ya Salah sawa hiyo.Ila kwa Keita hela ni nyingi wameipaisha sana huyu bei yake inabidi ianzie €45 hadi €50 mil
Bei inakuwa siri ya klabu. Mchezaji aki perfome vizuri wanatangaza watakayo value kwa wakati huo. Haiwi kwenye mkataba wa mchezaji anapo sign mkataba.Kumbukeni bei wanaoanga wao hamuwapangii jamani. Walishaweka kwennye contract yake kabla hata hamjamjua kuwa atakayekuja 2017 bei yake ni £ 70 na atakayekuja kumtaka 2018 bei yake ni £45
Sijuwi kwa nini klop hampi Flanagan hilo shavu. Dogo anakaza na ni die hard Liverpool.Magoli 90+ ya msimu wa 2016/17 ni ishara tosha kuwa tuna striking force nzuri Ulaya yote tu... ndiyo maana kamuongeza dogo Dommy ili ajifunze na kukomalia kisoka pale.
Uzuri wa Liverpool fc wachezaji wa kikosi cha kwanza ni wafungaji ukiondoa Clyne, Migs na Karius( hawakufunga goli msimu ulioisha). Hii inaonesha nguvu ya ushambuliaji.
Kumpata Keita kwafaa zaidi kuimarisha ulinzi na ushambuliaji.
Beki wa kushoto bado kuna nafasi (ingawa ndogo) kwa Flanagan na Gomez (yawezekana usajili wa beki wa kushoto ukachelewa kwa sababu ya uwepo wao).
Ni mawazo yangu.....
Sijuwi yani. Hiyo pesa bora tungempa Van djick tumalize issue ya kitasa tu.Samahani wakuu.iwapo tutamsajili Keita atamkalisha nani bench?Henderson au lalana?
Ninamtamani Sakho! Beki ya kushoto au mnasemaje?Sijuwi kwa nini klop hampi Flanagan hilo shavu. Dogo anakaza na ni die hard Liverpool.
Sakho mzuri, lakini tabia mbaya mchezaji hawezi kuwa juu ya klabu hata siku moja. Nidhamu msingi wa mafanikio.Ninamtamani Sakho! Beki ya kushoto au mnasemaje?
Kweli sababu tulianza shabikia ligi ya Uingereza wakati huo wa magiant wa ukweli. Watoto wadoho ndio kina Chelesea funs.Ni kweli kwamba mashabiki wengi wa Liverpool ni watu wazima kwa umri? Miaka 45 na kitu?
Wakati Liverpool ipo juu na inakimbia kwa makombe, wengi wao ndo walikuwa Teenagers !Ni kweli kwamba mashabiki wengi wa Liverpool ni watu wazima kwa umri? Miaka 45 na kitu?
Mmm, mtizamo wa kizamani, kwa hiyo kiwanja cha liverpool ujaza wazee.Ni kweli kwamba mashabiki wengi wa Liverpool ni watu wazima kwa umri? Miaka 45 na kitu?