Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...

 
Poleni wakuu ndio mpira huo tugange yajayo khe kh khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Tukitolewa na Soton naacha kabisa kupoteza muda wangu kuangalia mechi za Liver. Akiendelea hivi Klopp tunamaliza wa 6 au 7

ivi itakuwaje awe na UCL ,EPL,Carling na FA??
Wee achana na nafasi ya 6, wenyewe hutujui au? Labda ukampokonye uyo jirani yako everton, ya 7
 
The only consistency Liverpool have is their inconsistency.Si maneno yangu bali ya mtangazaji wa sky Jon Champion.Poleni wana Liver kwa kichapo cha jana.
 
Hahaha ndio haki ilivo
 
Klop huna beki, bado unaendeleza bifu la kike na Sakho, kweli? hata Swansea? , mbona gurdiola ameyamaliza na yaya mambo yanaenda, awache upumb.avu klop
 
Kumbe Liverlooser ni Mane duuu.....Mane njoo uokoe jahazi.
 
Mkuu huu msimu wakati unaanza nili-promise kama hatutapata kombe lolote (EPL or FA) nitapumzika kuwa karibu na huu mchezo, nadhani maneno yanaenda kutimia. Just tired with this shit.
Husichoke mkuu hii ni hali inayopita. Kaza rohoo
 
Nawashangaa sana mnaolialia kuhsu performance ya Jana . it happens like shit happens! Muhimu Ni kuchek the next game bado hatujapotea kabisa Ni upepo tu. Offcoz beki Ni mbovu kabisa. Nilitegemea MATIP kuanzia baada ya kuruhusiwa maana llorent e ni mrefu so as MATIP but Kllop akaamua kumuweka Klavan and we were so poor....
If u r a Liverpool fan then support us when we loose win or draw. Ndio Mapenzi hayo
NYWA
 
Llorenteeeeeeeeeeeee
 
Yaan nimesoma post za mashabiki wenzangu huku nikasikitika Sana yaan leo hii eti watu hawamtaki Klopp? Lazima tukubaliane na matokeo asee... kikosi chetu ni kidogo.. na tunabunch of average players. Cha muhimu ni kuwa patient tusubiri tu tutafika na bado tuna mechi nying tu...
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG] [HASHTAG]#kopites[/HASHTAG]
 
Watu wengine bhana wanakuwa machizi sana yaani kwa thamani ya vikosi vyao ni bora wangekaa kimya na nafasi walizonazo kwenye EPL ni aibu tuacheni we are the Kop
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…