Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hatimae Club Ya Liverpool Jana Jioni imezindua App Yake LFC Official App Ambayo itatuwezesha Sisi Mashabiki Kupata Updates Zote Za Liverpool FC Kama Vile Latest news, exclusive interviews, videos, live commentary, match highlights, photos, social media buzz, stats, results and much, much more just a tap away.
Inapatikana PlayStore


 
No Emre Can today, pivot ya Henderson na Gini inaweza ikaendelea tena kwa mara nyingine.

Paul Joyce anasema Sturridge anaweza akaanza leo. Sijui nani atakuwa dropped kule mbele..
 
I'd play this team today.

Migs, Clyne, Matip, Lovren, Moreno (Milner may start though), Henderson, Wijnaldum, Lallana, Mane, Firmino, Sturridge.


Coutinho anaweza akaanzia bench leo, manake alichelewa kurudi melwood baada ya international break. Kama rumours za Sturridge kuanza leo, basi nadhan atakayebaki bench ni Coutinho..
 

Nimeona Sehemu Flani Hivi Kuwa Huenda Cout na Milna Wakaanza Leo
 
Confirmed
Mignolet
Clyne
Matip
Milner
Lucas
Gini
Hendo
Mane
Lallana
Firmino
Sturridge
 
Kuna nn kuhusu Lovren?
Mbona hata bench hayupo wkt hakucheza game ya Croatia?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…