Miafrika nini bana,......unachagua kuchukia rascism unapoitwa 'racist word' na mtu usiyempenda, lakini mwingine akikutamkia " what up mah nigga?" utaona na ngumi kifuani "yooo, safe bruv!
swali la kizushi ....unawajua sana hawa jamaa N.W.A kina ice cube, dre, eazy e...et al....na Hip Hop artists wengi (kina 2pac R.I.P, 50cents, Jah Rule, Snoop Dog, etc) wanatumia neno hilo kwenye raps zao...kwanini iwe derogatory term ikitumiwa na watu baki?
....quoted
...inferiority zetu na u over sensitivity tu bana....crying babies.
Am black and proud, ...huwezi kuwa nyani ati kwakuwa mtu kakuita nyani, no way bana....rascism tunazopigania rights zake ni zile zinazotubagua kwenye haki za msingi,...sio hizi za kuitana ponjoro, mmanga, mmachinga, mlugaluga, nk....
suarez alimtamkia neno ambalo hata wachezaji wenzake wa Man U walikuwa wakimwita, hayo ni mambo ambayo yamepikwa ili kumchanganya tu
Ndo tuanze kuhesabu maumivu,.SG8 sijui na yeye atarudi lini uwanjani..?!
Unahisi wakina nani wanaweza kusimama pale mbele?! Af kwa nini case ya Terry ipelekwe mahakamani af ya Suarez iamuliwe na FA?! Najua maamuzi kwa Terry hata akikutwa na hatia hawezi kuhukumiwa kimichezo! nimesoma BBC wamedai akikutwa na kosa adhabu yake ni £2,500Mkuu, mimi nadhani without Suarez Liverpool will score more goals kwasababu there will be no one marksman!! na ile timu from inside right to the wingers is very fast aisee
I look at it as a challenge but the team will overcome, ni kama ile ya Torres ya last year
FA na double standards!!!! Wamekata rufaa UEFA kwa Wayne Rooney kwa rafu amabayo ilikuwa wazii kabisa....Ama kweli " If you cant convince them, confuse them" Wameona dogo hashikiki wanaanza kumchanganya.Unahisi wakina nani wanaweza kusimama pale mbele?! Af kwa nini case ya Terry ipelekwe mahakamani af ya Suarez iamuliwe na FA?! Najua maamuzi kwa Terry hata akikutwa na hatia hawezi kuhukumiwa kimichezo! nimesoma BBC wamedai akikutwa na kosa adhabu yake ni £2,500
Adam siyo beki... ilikuwa kona.poleni ndio mabeki hao..
Unahisi wakina nani wanaweza kusimama pale mbele?! Af kwa nini case ya Terry ipelekwe mahakamani af ya Suarez iamuliwe na FA?! Najua maamuzi kwa Terry hata akikutwa na hatia hawezi kuhukumiwa kimichezo! nimesoma BBC wamedai akikutwa na kosa adhabu yake ni £2,500
Tunatengeneza chance nyingi kweli za kufunga lkn hakuna goli hadi sasa! Tunahitaji a goal poacher.
Hii timu ni zaidi ya ugonjwa wa Moyo! Unaangalia game zake unaishia kutukana tu kwa upuuzi wanaoufanya, Sikuona 7bu ya Carrol kumaniza dk 90.. Af Downing winger gani hawezi kupika cross?! Leo ndo 2meona kwa nini Gerard anahitajika
Yaani kosakosa za timu hii zimezidi... Ajabu Maxi anayetupatia magoli anatolewa Carroll anamaliza dk 90..!!!