Mkuu za siku nyingi?Mkuu kwema aiseee!!
Asante sana!!Natarajia uchawi wa Klopp kuimaliza team yake ya Zamani leoMkuu za siku nyingi?
Sisi tupo ingawa kucheka kwetu sasa kunategemea siku hiyo Coutihno au Firmino wameamkaje!Dan bado hajarikava na Sakho leo yupo OK kesho hovyo
Karibu sana
Origi [emoji5] [emoji5] [emoji5]Pasi nyingi sana nyuma zisizo na manufaa yyt yale
Tunamtoa BVB kiurahisi kuliko hata tulivyo mtoa Man USioni mkitoboa....Aubameyangggggggggggg
mbona yuko njemaa mkuu,...Coutinho leo hayupo kwenye mchezo kabisa
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app