Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ibe, Kolo, Sakho and Henderson, all AVAILABLE for Arsenal game....Klopp saying, Lovren yupo poa, but anaogopa kumrisk, lets wait and see..
 
 
 
Posted by ThisIsAnfield 1 min ago
Liverpool boss Jurgen Klopp has told journalists he has no interest in signing former AC Milan forward Pato, advising them not to "follow the Pato path."
 
Lol, delusion..Ward is NOT better than Mignolet..any LFC fan ambaye atakubaliana na hayo Maoni itafanya tuquestion uwezo wake wa kufikiri kisoka.
 
Ktk striker's jamaa ni mbovu
 
Brazil is slow tempo league na virahis sana kuchex miaka ming bila kuumia...pato injuries kapat europe tena italy kweny slow tempo league pia..haji liver na klopp amekataa izo rumours..plus in brazil alikua wide player
 
Brazil is slow tempo league na virahis sana kuchex miaka ming bila kuumia...pato injuries kapat europe tena italy kweny slow tempo league pia..haji liver na klopp amekataa izo rumours..plus in brazil alikua wide player

Injury ni injury tu, haijalishi aina ya league, mchezaji akishakuwa injury prone, atakuwa hivyo katika league yoyote ile anayoenda.

Pato alikumbana na Major hit ya injury akiwa Ac Milan ambayo somehow iliharibu mpira wake ukichangia na maisha yake aliyokuwa akiishi nje ya uwanja, but alilicover, and tangu arudi mwishon mwa mwaka 2012, hajakumbana tena na injury kubwa, na amekuwa injury free since then, tofauti na Daniel sturridge.

pato can play as a Wide foward na Centre foward, kama Sturridge/Suarez/Torres etc and hao ndiyo aina ya Foward ambao wanaweza wakacheza mpira na AM wetu.
 
Ter stegen

Clyne- Lovren- Sakho- Moreno

Xhaka/Can- Gundogan

Gotze - Coutinho- Firimino

sturridge/?
Can ana work rate nzur na passing kaimprove sana.. but liver inahitaj controller awe ana pull strings from midfield..tukimpata uyo hata kina hendo wataonekana bora
Just one top class playmaker ataleta big difference kweny midfield yet
 
Hendo anakua avarage pale anapowekwa kama controller wa midfield.hana technical ability za kumfanya awe controller.ubor wake unakuja in his runnings..hasa zile late runs in the box.

Kuna wakat unamwona kbisa hendo anatumia nguvu pasipo ufundi sehem yakutumia ufund mwenzio anatia miguvu...

Verrrat ndo bingwa..duh yule jamaa ana composure ya ajab
Player pekee anaedribble ndan ya 18 yard ya lango lake
 
Brendan Rodgers will remain the worst manager of all time, Liverpool have ever had....

I suggest, he'is the most hated manager by LFC fans..
 
draw ya fa cup raund ya NNE
Arsenal v Burnley
Colchester v Tottenham or Leicester
Crystal Palace v Stoke
Derby v Man Utd
Nottm Forest v Watford
Oxford Utd v Blackburn or Newport
Shrewsbury v Sheff Wed
Northampton or MK Dons v Chelsea
Ipswich or Portsmouth v Bournemouth
Wycombe or Aston Villa v Man City
Huddersfield or Reading v Walsall
Eastleigh or Bolton v Leeds
Exeter or Liverpool v West Ham
Carlisle or Yeovil v Everton
West Brom or Bristol City v Peterborough
Bury or Bradford v Hull
Liverpool kaz imetufika
 
West Ham tena?....ayaaaaa

Kama defenders wetu watakuwa hawajapona , kazi tunayo .bora tungepangwa hata na manyau au Sunderland..

#YWNA#
 
Steven CAULKER

**KLOPP anatarajiwa kumsaini beki wa QPR Steven Caulker kwa Mkopo wa Dharula**


>>Mkopo wa Dharula tu mpaka mwisho wa msimu huu tu.
 
LFC have completed the signing of Steven Caulker on loan from Queens Park Rangers until the end of the season.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…