Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Firmino nimesikia baada tu ya copa america wanamsainisha ... Ukiwajumlisha bacca na rondon ndo sign 3 pekee ambazo club inazitaka
 
Hahahahahahahahaha

saaaaaaambaaaaaaaaa!!!

Firminoooooooooooooo!!!

Ole ole ole ole ole ole!!!!

Hahahahahahahahahaha

get the fucking in #lfc
 
Skysports NewsHQ tweet kuhusu LFC kukubali fee ya Firmino, imekuwa moja kati ya the most retweeted tweets, hii inaonesha ni jinsi gani LFC fans tulivyokuwa tumezimiss hizi moments..

WHAT A FUCKINGGG SIGNING..

CAN'T BELIEVE IT FFS..
 
Di Marzio also reporting kuwa, baada ya Firmino, we'll be moving kwa MATEO KOVACIC...HAHAHAHAHAHA!


WHAT A TIME TO BE ALIVE..
 
Yeeeesss! Angalau wanaanza kuonyesha kuwa wameacha kutumia 'ile kitu anayotumia Wenger...!'
 
Firmino....what a signing....

Lakini utashangaa BR anaanza kumchezesha RB

£29m is a lot of money...
Still I think he's a very good player and
has a good chance of being a successful
signing. But then again, it is Brendan
Rodgers.
 
Bei kubwa sio kitoto,Firmino awe mkali asitoe boko! Tatizo BR sio mkali ni jibwa koko!
Kiukweli kwa hali ilivyo usajili huu wa firmino unabeba matumaini mengi ya sisi mashabiki wa LFC. Tuombe aweze kuendana na mfumo na ayazoee mapema mazingira.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Ngoja niingie u tube kwanza nimuangalie kijana,maana simfahamu vizuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…