From deadly top team combination of SAS to ISIS (Ibe, Sterling,Ings,Sturridge) deadly mid-table team. Rodgers keeps doing wonders at Anfield.
You can add MISS (Milner,Ings, Sturridge,Sterling ) OR LOSS (Lallana, Origi , Sterling,Sturridge )
From deadly top team combination of SAS to ISIS (Ibe, Sterling,Ings,Sturridge) deadly mid-table team. Rodgers keeps doing wonders at Anfield.
You can add MISS (Milner,Ings, Sturridge,Sterling ) OR LOSS (Lallana, Origi , Sterling,Sturridge )
Sasa unataka. Awanunue nani?Hawa ni wachezaji wa kawaida sana mwaka jana tumesajili watu 9 lakini mwisho wa cku hakuna kitu tulichopata na ninaona na mwaka huu tunafanya vilevile wachezaji wa kiwango cha hv tutasubiri sana watu wamanunua wachezaji 3 kwa hela ndefu wanaleta impact sisi 9 ndiyo tunadolola kabisa. Hawa wachezaji wakiingereza hawana kitu sasa hv na huyu Rogers ndiyo amewang'ang'ania kama nini
from deadly top team combination of sas to isis (ibe, sterling,ings,sturridge) deadly mid-table team. Rodgers keeps doing wonders at anfield.
You can add miss (milner,ings, sturridge,sterling ) or loss (lallana, origi , sterling,sturridge )
Did notcopied.
Watching SG akicheza mpira katika the famous red jersey, ndiyo kilikuwa ni kitu kikubwa sana na bora zaidi kuwahi kutokea katika kipind changu cha kuishabikia LFC..he'll forever be my hero and my best player of all the time.
All the best stevie, thank you for everything..the true Legend.
Naona BR anataka aondoe wote wakongwe Liverpool!Ulimuondoa Reina for no reason unaleta keeper wa ajabu kabisa ambaye hata Bolton alishindwa ku command his number
BR is sick
The END of Liverpool football Club is near..
Yes for sure!
Another Notingham Forest in making
Siamini hilo tuangalie mechi tano za mwazo tusiposhinda hawamuachi na wakimuacha hata hao wamiliki watakua kwenye shinikizo lakuuza tim kwa lazima