Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Narudia tena, tatizo la kwanza ni Kocha, huwezi kutumia hela zote zile ukawa unashinda kwa bahati bahati..

#BR OUT
 
Kwa wapenzi na mashabiki inauma sana kupoteza mchezo kwa goli ambalo halikuwa halali.





''Michael Dawson's header the difference.
He was certainly onside''.


Haya wakuu tumeona mtanange wenu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ding ... .. dong ....
 

Unaniumiza roho....
 
Kama kuna timu ambayo naionea huruma msimu huu ni L'pool. Sijui kwanini walimruhusu Suarez kuondoka kirahisi rahisi wangeng'ang'ana naye tu. Ukiona sura za wachezaji na kocha zimejaa simanzi na yule dogo kama ataamua kuondoka basi bundi atakuwa ametua rasmi L'pool labda wafanye usajili mzuri sana.


Inauma sana tena sana...... Poleni sana watani zangu ndo soka hilo
 

Nyumba yangu ina majanga lakini ya jirani mmmmhhhh!!! Acha lilikuwa kosa kubwa kumuachia Suarez cheki kule Barca anavyofanya kazi vizuri karibia kila mechi hakosi kagoli kake,leo katupia 2 kati ya 6 waliyopata....
 
Reactions: BAK
Brendan Rogers huyu Huyu anasema mwakani tutashinda ubingwa sasa ngoja Wenye timu wasikilize maneno yake ndio atatushusha daraja Kabisa Maza Fanta! Kwanza wachezaji washamchoka kuanzia game Ya Westbrom na hii Ya leo kila anayetokea unamuona kwa Rogers hamtizami Usoni, watarudishie Benitez tu tu napigwa ubaya mpaka hata Nzi anatuonea huruma kututania.
 
Pamoja na matatizo yake ya kuuma wenzie na meno, jamaa ni mzuri sana kusema kweli. Wenger hakukosea alipotaka kutoa dau kubwa sana ili atue Emirates kutokea L'pool. Saa hizi tungekuwa tunatesa kwa zamu tena kwa raha zetu. Kama juzi ile na Chelsea labda angetupia tatu hivi kama siyo zaidi lol!

Nyumba yangu ina majanga lakini ya jirani mmmmhhhh!!! Acha lilikuwa kosa kubwa kumuachia Suarez cheki kule Barca anavyofanya kazi vizuri karibia kila mechi hakosi kagoli kake,leo katupia 2 kati ya 6 waliyopata....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…