Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

dah, kaka malafyale last season mlikua nafasi ya pili on table na kocha huyu huyu BR, leo hii liverpool haina kocha, serious??
 
dah, kaka malafyale last season mlikua nafasi ya pili on table na kocha huyu huyu BR, leo hii liverpool haina kocha, serious??
Anaondoka Diaz Suarez UNAMLETA Balaoteli hapo kuna kocha?

Unapewa Pound Milion 120 badala ya kuchukua replacement ya Suarez nguli kama Higuan hata kwa Milion 50 zinzobaki chukua replacement ya SG nguli kama Marchisio hata kwa Milion 50 lkn ww unaleta wachezaji 9 ambapo ni 2 tu unao watumia(Moreno na Emre Can)

Badala ya sasa kupigania saini kama za Dyabala au Icardi au Jovetic lkn yy lengo lake kubwa ni Milner!Kuna kocha hapo?
 
Poleni wakuu mwaka huu mtacheza mashindano gani? Europa au CL. Komaeni tu ule ujanja ujanja wenu kwishnei khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ding .... . .. dong. Malafyale kama mpole kama kuku aliyenyeshewa na mvua.
 
Last edited by a moderator:
mchango wa suarez ulimbeba sana jamaa na kufunika upungufu wake wa attacking tactics

Inabidi Suarez arudi kuja kuchukua mikoba ya BR. Awali Malafyale alisema SG ndiye aliiponza timu kwa vipigo mfululizo, leo tena Suarez kaacha pengo kwani dirisha la usajili silingetosha hata kuweka mwanya kwann hamkusajili?
 
Last edited by a moderator:
Inabidi Suarez arudi kuja kuchukua mikoba ya BR. Awali Malafyale alisema SG ndiye aliiponza timu kwa vipigo mfululizo, leo tena Suarez kaacha pengo kwani dirisha la usajili silingetosha hata kuweka mwanya kwann hamkusajili?

i think hata SG ana influence fulani ambayo ni negative, he may be demotivating some young youths kwenda kutafuta glory elsewhere na waslimuige yeye... he did that to Torres
 
Nacheza CL
Man United au Man City ananipisha hapo
 
Last edited by a moderator:
Majogoo tumewamiss sana, sina uhakika kama bado mnakumbuka kuwika, Ngoja tuone mechi ya leo!
 
Rumours zinasema Samed Yesil ana uwezekano wa kuanza leo!!
 
Reliable PERCY saying we want BENTEKE, then if that's true, inaonekana bado hatujajifunza kwa Caroll, Lambert na MB, benteke ni mmoja wapo wa Strikers ambao hawaendan na aina ya uchezaji wa LFC!
 
BALOTELLI starting AGAIN, Brannagan on the Bench!!

Allen replaces SG!!
 
Reliable PERCY saying we want BENTEKE, then if that's true, inaonekana bado hatujajifunza kwa Caroll, Lambert na MB, benteke ni mmoja wapo wa Strikers ambao hawaendan na aina ya uchezaji wa LFC!

Hii taarifa imenikera mno aiseeee, WHY LFC, WHY??????????
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…