LIVE UPDATES:Yanga SC Tanzania vs KCC Uganda

Kikosi cha Yanga


Kikosi cha KCC



Mods naomba muunganishe hizo picha kule juu mwanzo wa Thread.
 

Chokochoko mchokonoe pweza binadamu hamtamweza duh
 
Dakika ya 17 Yanga wanakoswa bao Deo Munisi anaokoa.
 
Yani Mpira unaochezwa hapa sijauona yani eti yanga nao wanacheza kama KCC,nawahangaa kweli hawa!
 
Kwa mijezi hiyo waliyovaa hao wajinga wajinga lazima 'wachambie' viwembe leo.
 
Jamani naomba update zinahusiana na mechi atupe huyu mkuu sana ng'wanangwa wabejasana aliyeko uwanjani.
 
Jamani naomba update zinahusiana na mechi atupe huyu mkuu sana ng'wanangwa wabejasana aliyeko uwanjani.

Unataka Updates zipi Mkuu tofauti na hizi zinazoletwa hapa?!,haya dakika 26 KCC wanakosa bao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…