Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Simba Kapakatwa....
Hongereni sana Simba Kwa kulibakisha Kombe Tanzania bara,kweli nyie Wekundu wa Msimbazi.
Apakatwapo Simba mcheza nani?........
Leo. Messi hayupo?
Mesi yupo zurich switzerland kuhudhuria FIFA Ballon D'or
Anamzungumzia Messi Koko wa Simba....
Naipenda TANGANYIKA ina kila
aina ya vituko, wengine wanaamka wengine wanalala, Huu kama siyo MNAZI
basi ni KIBUKU, ULANZI, BANGI ya chooni au GONGO.
Mkuu unachekesha kweli... kombe ulilikimbia lakini kwenye fyeefyeefyeee umo aisee, kweli wacha debe tupu liendelee kutikaSimba Kapakatwa....
Mkuu unachekesha kweli... kombe ulilikimbia lakini kwenye fyeefyeefyeee umo aisee, kweli wacha debe tupu liendelee kutika
Simba Kapakatwa....
Yanga haikukimbia kombe bali haikushiriki. Unapopewa mualiko kuna two options kukubali au kukataa. Timu ya wananchi ina ratiba nyingi na zote endelevu, hatuwezi kuharibu mipango ya Timu kisa tukaipe promo Azam TV. Tunajitambua nyie sijui mnasubiri nini?
timu ya wananchi halafu mnatoa priority kwa uturuki wakati mlezi wenu ni mke wa muasisi wa mapinduzi zanzibar
what a silly excuse... you dont even know historia ya Tanzania kwa excuse uliyotoa, unaangalia AzamTV instead of history ya kombe la mapinduzi!!!
unawaza jirani atapata nini, badala ya kufikia wewe utapata nini, a very dumb excuse kuangalia azamTV wanapata nini, hoja ya kichawichawi
hongera kwa kujitambua, wanasema -------- akijitambua upumbavu wake, basi yuko mbioni kuuacha
imenisikitisha sana
Tuko nyuma yako kijana Simba tupeni raha kitaaa
Nimefutahi sana, mjini kutapoa sasa asavali