Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Mkuu ukweli ni kwamba Simba alipakatwa jana.......Mkuu unachekesha kweli... kombe ulilikimbia lakini kwenye fyeefyeefyeee umo aisee, kweli wacha debe tupu liendelee kutika
Na waandaaji wa Kombe la Mapinduzi wameshatuelewa ndio maana hata pesa za Ubingwa Tshs. milioni 16 kati ya hizo Milioni 10 zimetolewa na Yanga