LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

mechi imeishaje? (1-0 au 3-1 KCC?) Ni vigumu kujua kupitia thread hii!
 
Leo watu wamepata cha kuongelea vijiweni, ila Hasira na Kasi atakayo toka nayo Simba huko Zamzibar Yanga mkae chonjo.........
 
Utetezezi wa nini, kwani hapa tupo mahakamani kujua kama ziara ya turkey ilikuwa ya kupeleka unga ??
Ukweli ni kwamba Simba wamechapwa leo mkuu....Pamoja na majigambo mingiii leo wamepigwa kidude kimoja na KCCA....

Hayo ya Barcelona, Real Madrid n. kufungwa ni blah blah tu......Ukweli utabaki palepale kwamba Simba leo mmepigwa Kidude Kimoja....

Na hayo ya Yanga kupeleka Unga Turkey yafungulie thread....

Btw....Messi Koko , Kipa asiyefungika Ivo Mapunda na Tambwe hawakuwepo uwanjani leo?
 
Leo watu wamepata cha kuongelea vijiweni, ila Hasira na Kasi atakayo toka nayo Simba huko Zamzibar Yanga mkae chonjo.........
Mbwembwe tu hizo mtani.......

Kama maneno ni magoli Simba wangechukua Ubingwa bila hata kuingia uwanjani leo....
 
Hongereni sana vijana wa Simba kwa kuonyesha kwamba mmeimarika tofauti na kipindi kile mmemaliza mzunguko wa kwanza, mmecheza vizuri hasa kipindi cha pili tuseme tu kwamba bahati haikuwa upande wenu hii leo maana kucheza mechi sita ndani ya siku kumi na tatu na mkaruhusu kufungwa goli moja tu sio kitu kidogo mnahitaji pongezi.

Kuteleza si kuanguka na hata kama ukianguka haimanishi ndo umeumia kiasi kwamba huwezi kunyanyuka na kuendelea, mmeteleza na kuanguka hivyo sisi mashabiki wenu tunawambia nyanyukeni na muendelee na maandalizi ya ligi mzunguko wa pili.
 
NGUVU MOJA MSIMBAZI...Ahsanten Wachezaj kutufikisha hapo tulipofika...tumethubutu na tumekuwa washindi wapil ingawa lengo ilikuwa kombe.tofauti na wengine waliogopa kuthubutu had wakaamua kukimbilia uturuki
 
Kumbe yanga ilikuwa imeleta amani simba. Leo mmefungwa KCC mnapigana mnasingizia Rage. Pole huu si uanamichezo KCC ni wazuri kuliko Simba
 
Maskini wazee wa msimbazi....licha ya tambo nyingi wameishia kunawa tu! Na kupigana vikwenzi.
 
Back
Top Bottom