Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Dak. 70.
Daaa mechi imemalizika Simba 2 Vs KCC 1
Daaa mechi imemalizika Simba 2 Vs KCC 1
tatizo la kutoamini wazeeG
Ganja bana...
Kuna harufu ya red card kwenda KCC. Wasipokaa sawa, refa ataitoa.
Naipenda TANGANYIKA ina kila aina ya vituko, wengine wanaamka wengine wanalala, Huu kama siyo MNAZI basi ni KIBUKU, ULANZI, BANGI ya chooni au GONGO.
Duuhhh Tumepoteza