Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
KCC 1-0 Simba dk ya 25
Makoye Matale bila shaka meno yote nje: tutasawazisha very soon.
Bila shaka unakumbuka dua yangu. Usijali Mkuu tuko pamoja.
KCC 1-0 Simba dk ya 25
Makoye Matale bila shaka meno yote nje: tutasawazisha very soon.
Ivo Mapunda, Haruna Shamte/Wiliam Lucian, Issa Rashid, Joseph Owino, Donald Musoti, Jonas Mkude, Haruna Chanongo, Amri Kiemba, Amis Tambwe, Awadh Juma/Ramadhani Chombo na Ramadhani Singano.Mkuu tunaomba lineup tafadhali
Ivo Mapunda, Haruna Shamte/Wiliam Lucian, Issa Rashid, Joseph Owino, Donald Musoti, Jonas Mkude, Haruna Chanongo, Amri Kiemba, Amis Tambwe, Awadh Juma/Ramadhani Chombo na Ramadhani Singano.
mpk ss Kcc inaongoza msoti kajifuga dk ya 7
Jamani mpka sasa nidakika ya ngap?
Nani yuko benchi aje atupe msaada...hili kombe inabidi libaki nyumbani
Kuna harufu ya red card kwenda KCC. Wasipokaa sawa, refa ataitoa.
Kuna harufu ya red card kwenda KCC. Wasipokaa sawa, refa ataitoa.