Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,455
- 8,249
BAVICHA mnafuatilia huu uzinduzi hatua kwa hatua!
Magamba mnajitahidi kukapepea kafaranga kenu mliko katoa mbona hautapita muda mtakuwa mumekatwaa.
BAVICHA mnafuatilia huu uzinduzi hatua kwa hatua!
Pia Tumewashauri Bavicha na Bawacha wanywe maji ya kutosha na chakula cha kutosha ili wasije wakazidiwa na dozi itakayo tolewa na wazalendo..
Act inatishaaa
Mkuu mda mwingine huwa nafikiria ikitokea slaa akawa Rais lazima tuliingize kwenye matukio ya dunia ,,rais wa kwanza mwenye girlfriend kwa mda mrefu duniani.
Siri hiyo anayo Kagenzi
Leo ni tukio la kihstoria hapa nchini ambapo Chama cha ACT-WAZALENDO kinazinduliwa rasmi,, tafadhari fuatilia uzi huu kwa live updates.
Updates..sijakimbia wazalendo.nilikabwa na majukum hapa ukumbini..no mafuriko...nyomi..with kibaoo..viongozi wakitaifa wameshawasili hivi sasa in utambulisho.
Updates 2.
Mshereheshaji anaeleza masuala kadhaa muhimu ktk chama ikiwa ni pamoja na uchaguzi ndani ya chama.uzinduzi Wa chama na uenezi wake.
Muongoza ratiba anaelezea milima na mabonde ndani ya chama tangu kimeanzishwa na jinsi uchaguzi ulivyofanikiwa hadi Jana ambapo chama kimehitimisha kwa kufanya uchaguzi wa kitaifa...
Updates..mdada machachari ktk kuimba anatoa burudani Kali hapa ukumbini
Sasa in utambulisho Wa viongozi waliochaguliwa Jana....ametambulishwa mwenyekiti Anna mughwira ..KATIBU MKUU Samson MWIGAMBA..makam bara na visiwani
Makan mwenyekiti bara SHABANI mambo ameeleza hivi sasa kwamba act ni ya watz wazalendo na ameomba wananchi wrote tuiunge mkono
Updates...mwenyekiti TAIFA Anna mughwira anahutubia hivi salsa .anasema act ni ya watz na ni chama kinachoweka maslahi ya TAIFA kwanza...kwamba act imetanguliza utu kwanza.
Updates...
Mwenyekiti anasrma act ni chama taasisi..in chama kinachojali maslahi ya TAIFA na kimebainisha ktk ilani kwamba kinawaenzi waasisi Wa TAIFA Mwl julius k.NYERERE na abeid karume..
Updates...anasema act imeandika historia katika TAIFA kwa kumchagua mwenyekiti Wa kwanza mwanamke...act imeanzia nyumbani hivyo tukiunge mkono
Updates...
Afande Sele ndani ya nyumba anatumbuiza
Zitti KABWE anahutuvia sasa anasema ni miaka 54 sasa tangu tupate Uhuru ndoto za waasisi w TAIFA hili hazijafikiwa badala Yake ni jinamizi la ufukara limelikumba taifa
Anasema act unaenda kurudisha misingi ya mwalim NYERERE
Act inataka kurejesha siasa za kizalendo na nchi irudi kwa wananchi.kuondoa mamlaka ya siasa kw wafanyabiashara kurudi kwa wananchi...
Viongozi Wa act kuweka hadharani Mali zao na kutangaza Mali na madeni Yake.
...updates...viongozi Wa chama TAIFA wanatia saini mikataba ya Ku surrender mali zao hadharani...
Hahahaaa Mingoi hua unaniacha hoi sana.Sasa umejuaje siri ya Dr. Slaa kutokua/kua na mtoto anayo Kagenzi?
Ukiona ujibiwi basi ujue wamekupuuza.
Siasa za bongo ni kichefuchefu. Mtu kajiunga juzi leo ndo kiongozi mkuu! Stupid!
Hahahaha yan ukiwa na jf huwez kuboreka.
Zito ni kiongozi Mzr no one among poltical leader like zito
Leo kulikuwa na uzinduzi wa chama kipya cha zito kabwe diamond jb lakini cha kushangaza badala viongozi wa chama kutangaza sera za chama chao wanacheza ngoma na kuonyesha maigizo