Live updates: Uzinduzi rasmi wa ACT-wazalendo - Diamond Jubilee Hall

Ni wajibu wa raia kulinda na kuhakikisha sheria za nchi zinalindwa.Sasa kama anafahamu kuna uhalifu huo,aende mahakamani ni haki yake.Kujamba jamba huku hakutasaidia
Wewe ulishwahi kwenda mahakamani? kwa issue yeyote ile?
 
Siasa za bongo ni kichefuchefu. Mtu kajiunga juzi leo ndo kiongozi mkuu! Stupid!
 
Musalani naona upo makini kutetea chama chenu cha Kiha. naona waha wote ndio wamejaza ukumbi. Leo hakuna kuuza matunda na Vibagili vya watoto mtaani. Chezea wabishi wewe. Leo wako na Rais wa Kigoma.
 
Kama ameweza kuwasaidia wachaga wasiondoke kwenye medani za kisiasa kwanini kwa "Waha"?

Kumbe hapa Ukumbini kuna wengi walikuja kupata chakula cha ubongo kutoka kwa Lipumba. Lile dubwana limeongea upuuzi watu wametoka ukumbini wanalalamika wamedanganywa na ACT
 
Wapi imeandikuwa kuwa ukishakuwa mwanachama wa chama fulani hutakiwi kuhama na kwenda kwingine?

Wapi imeelezwa kuwa raia haruhusiwi kujifananisha na Kiongozi wake wa kwanza as long as ni mzalendo?

Btw, nimeambiwa kuwa Gf wa slaa nae yupo! hahahaaa!

Chadema kazi mnayo..

Kumfananisha Nyerere na nyang'au ni kumkosea baba wa Taifa adabu.
 
Chama cha upinzani dhidi ya upinzani, hii inakaaje mbona naona kama mijadala na mitazamo yote ni kama kulaumu vyama vingine vya upinzani hasa chadema?
 
Kumbe hapa Ukumbini kuna wengi walikuja kupata chakula cha ubongo kutoka kwa Lipumba. Lile dubwana limeongea upuuzi watu wametoka ukumbini wanalalamika wamedanganywa na ACT

Mkuu ila uzinduzi wa ACT umefana sana. Hebu wape Hongera kwa hilo.
Ungekuwa unaboa msingefuatilia hivi.
 
Akiwa na uwezo ndio tuwapishe, au tunatakiwa tuungane na mwenye uwezo? Hoja yangu ni kuwa tusifurahie kupata wafuasi toka upinzani bali tufurahie zaidi tukipata wanachama wapya ili kuongeza nguvu ya upinzani kwa ujumla wake. Ikiwa lengo ni kudhoofisha upinzani itakuwa ni shida kwa vyama vyote vya upinzani kikiwemo chama hiki cha ACT.

Umemsikia Zitto akizungumzia kupambana na upinzani?
 
Back
Top Bottom