Live updates: Uzinduzi rasmi wa ACT-wazalendo - Diamond Jubilee Hall

Hivi hujawahi ona Chizi anacheza barabarani na Watu wamejaa wanamshangaa?. Hata Kinana anajaza watu kutokana na Maigizo yake. Kwahio msishangaye watu kufuatilia. Hata mm nimefuatilia ila sijaona cha maana.
 
breaking newsss

Dr feki slaa pressure imempanda ghafla
hivyo yupo njiani anakimbizwa hospitali ya aga khan

wale vijana wenye mahaba na padri slaa wawahi kumjulia hali aga khan

Haha mkuuu usinichekeshe kumbka gwajima bado hajapona.
 
Tanzania na utitiri wa vyama vya siasa! Mtu akitumiliwa na chama alichokuwemo anaanzisha chake mwishowe itafikia ukitimuliwa na ukoo unaanzisha wako.
Kwanini tusiunganishe kwanza nguvu ya vyama vilivyopo tuone km tunaweza kubadilisha upepo?
Nini matakwa ya kuendelea kugawanyika kwa kuanzisha vyama mbalimbali na kutafta wasuasi wapya?
Au vyama vya siasa navyo imekuwa uwekezaji ambapo watu wanawekeza ili kupata ruzuku toka serikalini?
Ingekuwa vipi ikipitishwa sheria ya kuondoa ruzuku inayotolewa kwa hivi vyama na kuzuia wahisani kivifadhiri mana nia yao si kuvisaidia kuleta maendeleo ya nchi bali kupitishia mianya yao ya kujinufaisha!
Inatosha sasa kwa huu utitiri wa vyama huku umasikini ukizidi bila kuleta mabadiliko yoyote!
 
Kamanda povu la nini tulia dawa iingie ndio kwanza dozi zinaanza
 
Leo ni tukio la kihstoria hapa nchini ambapo Chama cha ACT-WAZALENDO kinazinduliwa rasmi,, tafadhari fuatilia uzi huu kwa live updates.
Updates..sijakimbia wazalendo.nilikabwa na majukum hapa ukumbini..no mafuriko...nyomi..with kibaoo..viongozi wakitaifa wameshawasili hivi sasa in utambulisho.

Updates 2.
Mshereheshaji anaeleza masuala kadhaa muhimu ktk chama ikiwa ni pamoja na uchaguzi ndani ya chama.uzinduzi Wa chama na uenezi wake.
Muongoza ratiba anaelezea milima na mabonde ndani ya chama tangu kimeanzishwa na jinsi uchaguzi ulivyofanikiwa hadi Jana ambapo chama kimehitimisha kwa kufanya uchaguzi wa kitaifa...
Updates..mdada machachari ktk kuimba anatoa burudani Kali hapa ukumbini

Sasa in utambulisho Wa viongozi waliochaguliwa Jana....ametambulishwa mwenyekiti Anna mughwira ..KATIBU MKUU Samson MWIGAMBA..makam bara na visiwani
Makan mwenyekiti bara SHABANI mambo ameeleza hivi sasa kwamba act ni ya watz wazalendo na ameomba wananchi wrote tuiunge mkono

Updates...mwenyekiti TAIFA Anna mughwira anahutubia hivi salsa .anasema act ni ya watz na ni chama kinachoweka maslahi ya TAIFA kwanza...kwamba act imetanguliza utu kwanza.

Updates...
Mwenyekiti anasrma act ni chama taasisi..in chama kinachojali maslahi ya TAIFA na kimebainisha ktk ilani kwamba kinawaenzi waasisi Wa TAIFA Mwl julius k.NYERERE na abeid karume..

Updates...anasema act imeandika historia katika TAIFA kwa kumchagua mwenyekiti Wa kwanza mwanamke...act imeanzia nyumbani hivyo tukiunge mkono
Updates...
Afande Sele ndani ya nyumba anatumbuiza
Zitti KABWE anahutuvia sasa anasema ni miaka 54 sasa tangu tupate Uhuru ndoto za waasisi w TAIFA hili hazijafikiwa badala Yake ni jinamizi la ufukara limelikumba taifa
Anasema act unaenda kurudisha misingi ya mwalim NYERERE

Act inataka kurejesha siasa za kizalendo na nchi irudi kwa wananchi.kuondoa mamlaka ya siasa kw wafanyabiashara kurudi kwa wananchi...
Viongozi Wa act kuweka hadharani Mali zao na kutangaza Mali na madeni Yake.
...updates...viongozi Wa chama TAIFA wanatia saini mikataba ya Ku surrender mali zao hadharani...

Mwalimu mbona hujatambulisha wageni waalikwa ?
 
Acha uwongo wewe Zitto aliaga Kigoma,nguvu za matunguri waliofukizwa vichwani mwao itakuwaimekwisha.

Aliyewaambia mumfukuze huyu muha kutoka CDM ndio kawaua kishenzi!

CDM mmeifanya kuwa ya kikanda pekee tu mkidhani hatutajua eenh!

Sakata linalofuata hamjalijua tu, mpaka tunafikia october sidhani kama CDM itakuwa strong tena...
 
Kila kona leo ni mjadala wa ACT,kuna tetesi waziri mmoja anamenukuliwa akisema Hiki ndio chama cha kweli na badoo!!
 
Halafu kule unajifanya humjui,nye yenu moja

Mimi simjui kweli vile,jana ulivyosema ndio nikajua.Hata huko ulikowafuma mimi sio mpenzi wa hilo jukwaa kabisa.
Hata hivyo acha presha,huibiwi wala nini.
 
Back
Top Bottom