Live updates: Uzinduzi rasmi wa ACT-wazalendo - Diamond Jubilee Hall

Kinachinisikitisha ni kwamba wafuasi wa vyama vya upinzani wanapingana badala ya kuungana kuiondoa CCM.

Sijasikia pro ccm wakikikosoa act.

naanza kuamini kuwa CCM an mwanae ACT.

ACT wakiamua kuandamana hata kesho kwa jambo lolote hawatapigwa na policeccm.

UNITED WE STAND, DIVIDED WE FALL

Nakiona kifo cha Chadema hichoooo!!
 
nahisi vyama hivi vimeonesha tabia ya kutokomaa kisiasa za kitoto,kisasi,chuki,wivu,na uoga ni tabia MBAYA,vimewazuia wabunge wake pamoja na kumshinikiza prof. kutohudhuria uzinduz wa ACT Leo n tabia mbaya,ni dalili za chama hicho kufa

vyama vipo vingapi?.. umewaona hao tu,, daah mpe hi '' mkuu wa chama''
 
TATIZO KUBWA LA HIKI CHAMA CHA ACT ni kupambana moja kwa moja na vyama vingine...hilo ni kosa kubwa wao wangeweka mkazo mambo yao na sera zao lakini kelele hizi mnapiga mtakuja kuachwa tu solemba na media mana mtakua hamna jipya hapo ndio mtajijua
 
And that is 'PEOPLE'S POWER!'
Wahudhuliaji wengi Leo ni wauza matunda na wauza urembo hapa mjini. Ambao wote ni waha. Ndio maana Leo wauza matunda na Urembo hawakuwepo kabisa mitaani. Si umeona wengi waliohudhuria walivyochoka kimaisha?. Kweli ni wazalendo.[/QUOTE]
 
Mwanahabari Huru

Naona jicho lako la kihabari limeona vyema. Filter yeyote kwenye dawati angeweza kukupatia tick kwa kuwa na analytical story...it is when the reporter goes beyond... 'so and so said...'
 
nahisi vyama hivi vimeonesha tabia ya kutokomaa kisiasa za kitoto,kisasi,chuki,wivu,na uoga ni tabia MBAYA,vimewazuia wabunge wake pamoja na kumshinikiza prof. kutohudhuria uzinduz wa ACT Leo n tabia mbaya,ni dalili za chama hicho kufa

Lipumba alikufahamisha kuwa anataka kuhudhulia? Jitafakari tena unachoongea kama una ushahidi wa kuthibitisha hoja zako
 
lipumba naye sometimes ni prof asiyejiamini nilijua tu kapigwa mkwara na remolte controller wao chadema asihudhurie ufunguzi wa chama cha wazalendo, lakini hakuna tatizo Tunaanza sio lazima yeye na wenzie wahudhurie watabakia kwenye historia ya kugoma kuja kwenye ufunguzi wa chama kitakachowaletea watanzania mabadiliko chanya na sasa ACT Tunaanza kazi ya siasa sasa Rasmi
 
TATIZO KUBWA LA HIKI CHAMA CHA ACT ni kupambana moja kwa moja na vyama vingine...hilo ni kosa kubwa wao wangeweka mkazo mambo yao na sera zao lakini kelele hizi mnapiga mtakuja kuachwa tu solemba na media mana mtakua hamna jipya hapo ndio mtajijua

Kupambana na vyama vya siasa makini ndiyo wajibu wao wa msingi...ndiyo maelekezo waliyopewa. Ndiyo wimbo aliochagua mlipa zumari. Si ulisikia walisema kupitia kwa Kiongozi Mkuu kuwa UKAWA ni Umoja wa tamaa ya kugawana madaraka na kwamba hawautaki. Ghafla majuzi wakagundua kuwa waliropoka kama kawaida yao, wakaanza kutafuta namna ya kuingia kwa kimgongo mgongo. No way. Wakakuta UKAWA si kichaka cha wasaliti na watovu wa nidhamu kwa maslahi ya CCM.

Umesahau ule mkakati wa CCM kupitia ACT uliozungumziwa na wale madiwani waliolaghaiwa kuhama CHADEMA kule Shinyanga.
 
Hata Shibuda hajahudhuria?

Inauma sana,ukiwa nao wanakuchekea,ukitoka wanakung'ong'a huyo ndio Shibuda daima atabaki chadema kujenga chama chake kilinpigania akiwa kifungoni,alitangazwa mbumge akiwa lokapu,akaachiwa kwenda kuapa
Anajua zimwi likujualo,viva Shibuda.
 
nahisi vyama hivi vimeonesha tabia ya kutokomaa kisiasa za kitoto,kisasi,chuki,wivu,na uoga ni tabia MBAYA,vimewazuia wabunge wake pamoja na kumshinikiza prof. kutohudhuria uzinduz wa ACT Leo n tabia mbaya,ni dalili za chama hicho kufa

Kiongozi wako kasema kazi yake kubwa ni kuiangusha UKAWA sasa wewe unategemea nini?
 
Back
Top Bottom