Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
mwendhangu nilifikiri tbc wataonesha. tuvute subira labda watajiunga
Wanabania leooo..m
mwendhangu nilifikiri tbc wataonesha. tuvute subira labda watajiunga
Jamani.....tanesco wamefanya yao halafu laini moja tu,nyumba nyingine zinawaka!!!
Sijui hata kama utarudi
Asante kwa taarifa best, tuendelee kulipa support dogo letu HISIA tuone litafika wapi!!!fiona na kojo wameaga mashindano, hivyo sasa hivi kila nchi imebakiwa na mshiriki mmoja mmoja isipokuwa kenya yenye washiriki watatu hadi sasa.
Wanabania leooo..m
ndio maana tulisema tangu mwanzo madam alichemka sana kupeleka hii kitu TBC. sijui mitambo imewagomea coz walitangaza wataonesha.
ndio maana tulisema tangu mwanzo madam alichemka sana kupeleka hii kitu TBC. sijui mitambo imewagomea coz walitangaza wataonesha.
yupo kwenye harusi. mbona mwakijambile hata simsiki sauti yake vizuriwapi Heaven on Earth leo ?