Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,370
- 29,606
Huyu Hisia anaweza kula probation leo!!!!!!
Siyo anaweza.....Lazima leo aingie aisee...
Huyu Hisia anaweza kula probation leo!!!!!!
Hahahahawewe furahi akisikia twin wangu miss strong unamponda my love wake, duniani patakuwa si mahali salama kwa kuishi wewe
mmmh ngumu kumesa!!!!!!!!
Hermy B always negative commets zake hutoa kwa watanzania mf leo walipoimba wimbo wa awilo longomba aliwapa credit fiona na mwenzie bila kumuappreciate hisia lakin c ajabu ndo tabia za wabongo
Whateverweyeee weyeee mume wa wenyewe huyoo
Hermy B always negative commets zake hutoa kwa watanzania mf leo walipoimba wimbo wa awilo longomba aliwapa credit fiona na mwenzie bila kumuappreciate hisia lakin c ajabu ndo tabia za wabongo
Hahahahawewe furahi akisikia twin wangu miss strong unamponda my love wake, duniani patakuwa si mahali salama kwa kuishi wewe
Hisia mavazi yake ya leo..na anavyoimba leo.
Daaah tumpigieni kura lakini.....kikwetukwetu......
Daaah Kule kwa Madam watakuwepo leo?
Kuna sehemu mtu habebek umfanyaje????kisa mtanzania tu basi umsifie!!!!
Hisia huyu Inabidi arudi nyumbani tuu habebeki na we can not blame hamiesKuna sehemu mtu habebek umfanyaje????kisa mtanzania tu basi umsifie!!!!
Hahahaha
miss strong am so sorry, patrick alichesha na sauti ili kwisha.
halafu yupo rafu hovyooooMi naona Angel was stronger than Hisia hata kama mtz mwenzangu kwa level iyo he's the one to go...hana any wow moment yani!!naona hata aibu kuvote incase ameingia kwa probabation, ona the rest of the group wanavyojituma leo
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Mi naona Angel was stronger than Hisia hata kama mtz mwenzangu kwa level iyo he's the one to go...hana any wow moment yani!!naona hata aibu kuvote incase ameingia kwa probabation, ona the rest of the group wanavyojituma leo
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums