Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

dada wa rwanda kaimba vzr..lets c this two
 
tuwaone hawaa wakaka.....

Hisia kanifurahisha aisee........nilikuwa natamani niwe mle ukumbini

hii kitu umeifuatilia sana. utakua unanipa matokeo. nipe ratiba niwe nakusaidia kuangalia. na nikiangalia nahitaji kujua wamshabikia nani ili na mimi awe huyohuyo kama akitolewa tulie wote. mia
 
Aiseeee kuna watu wanaimba aiseee.
 
Back
Top Bottom