Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
the competition has just began asee
daa hakika ndio kwanza tumeanza, this is next level
huyu dior ana mikwara sana let see.
the competition has just began asee
hebu panda juu ya bati labda itasaidia..
now is bior..
ndo kabakia humo lol.....
Hii net ya leo hii inanizingua sana
bior ana kismet cha kupendwa na mashabiki lakini sii mwimbaji
wimbo sio banambona kapoa leo.......
mi nilifikiri huku kijijini kwangu tu
mi nampenda bior jamani
Mbona nipo mwenyewe jamani...Hii server ya JF inasumbua sana..
Hizi nyimbo sio za Bior...Selection ya song naona atakuwa kakosea...Sijapenda..
Jamaa from Rwanda anaimba..