Mbona nipo mwenyewe jamani...Hii server ya JF inasumbua sana..
Hisia kaimba vzr.. huyu dada bonge wa Uganda probation ni yake leo na Biour[/QUOTE
competition imeanza kuwa kali sasa
Hisia kaimba vzr.. huyu dada bonge wa Uganda probation ni yake leo na Biour
oooh i'm proud of you hisia.
yaaani kwa perfomance za leo hakuna aliyemfikia hisia.
huyo mnyarwanda hatariiiiii
huu wimbo wa fiona mgumuje?
jf sarver hiko busy sana.
Nomaaaaaa huyo dada wa beyonce