Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Haya mzeee wa hisia kali kojo lkn sauti yake ipop weak
 
hawa wakenya watawabebabeba
hawa majamaa lkn kuna wakati mbeleko itatoboka. Haiwezekani watu
wanasaidiana kuimba kwanza sauti ni mbaya na harmonization yao haipo
kali kivile.embu wawaambie waimbe mmoja mmoja muone vituko. Waonolewe
kwanza wanaaribu budgeti ya msosi

haaa haaa haaa hata ian leo hajapenda. so bado hisia wetu hana mpinzani.
 
halafu hope ana undugu na joti? mi naona wanafanana sura
 
Back
Top Bottom