Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,863
- 14,348
mimi napiga best kama kawa. ila usisahau kuanza na neno tusker. yaani TUSKER 15 kwenda 15324. atug na Little Angel mko wapi kura zenu zinahitajika jamani kwa angelDEMBA on line voting jana ilini sumbua sana nikaona nitumie tuu sms, na kama ni mara moja per day bora ilivyo goma maana mpango wangu ni kumpa kura nyingi na jana nilifanya hivyo na leo nina endelea hili nijaribu kumuokoa.
Mpigieni kura hili aendelee kubaki.
Last edited by a moderator: