Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Hakiwez kivilee aongee tu kiswahili koz its not a bad lugha atii awe proud nayo. Au TPF wapo.strict na english tuu

yeah na mie nilimuona that day jeniferr kingreza bado kinamzingua
 
Nipo sema internet ilikuwa inanizingua.. Hammy kumbe nae ni mkali.. Umeona leo alivyowagombeza washiriki

Leo nimechelewa. naendelea kupiga kura. Harmy ni mmoja wa watu serious sana na ningependa aendelee kuwa koromea hasa wabongo hili wasilete mchezo sio tupoteze kura zetu.
 
atug weka hints za muhimu hapa maana me leo nimekosa alaf usisahau kupiga kura.

cc DEMBA.
 
Last edited by a moderator:
Nipo sema internet ilikuwa inanizingua.. Hammy kumbe nae ni mkali.. Umeona leo alivyowagombeza washiriki
haa haaa nimeona, kojjo amezidi mashauzi bana leo kapewa mashushu
 
atug weka hints za muhimu hapa maana me leo nimekosa alaf usisahau kupiga kura.

cc DEMBA.

As DEMBA said wengi walikuwa hawajashika maneno ya nyimbo. Patrick alikuwa anaimba huku anatafuna big g akaambiwa aibandike puani.. Hamy told then wanapokuwa ktk secion ya kujifunza music wawe serious. Pia hammy katoka zawad ya tshirt kwa walioimba vzr ktk mazoez,edu kaendelea na jukumu la kuwafundisha dancing,Fess on ma side saut badoo na Jeniffer english sio kiivyo anaongea kiswahili. Kojjo kaniboa anajishaua
 
nashukuru sana,sasa mbona ujaniambia kuhusu my angel au leo yeye hakuimba. jeniffer english si sana i know.
hahaha kojjo ndio zake kuna kitu ana tafuta kama umejaribu kumsoma.
 
Last edited by a moderator:
As DEMBA said wengi walikuwa hawajashika maneno ya nyimbo. Patrick alikuwa anaimba huku anatafuna big g akaambiwa aibandike puani.. Hamy told then wanapokuwa ktk secion ya kujifunza music wawe serious. Pia hammy katoka zawad ya tshirt kwa walioimba vzr ktk mazoez,edu kaendelea na jukumu la kuwafundisha dancing,Fess on ma side saut badoo na Jeniffer english sio kiivyo anaongea kiswahili. Kojjo kaniboa anajishaua

Hivi kwenye academy wanakuwa restricted kuongea kingereza?
 
Last edited by a moderator:
DEMBA atug msisahau kupiga kura,daaa angel akitoka daa ntaumia sana.
 
Last edited by a moderator:
Hivi hakuna anaejua historia ya angel wala jina lake full?
 
Back
Top Bottom