Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Am better than yesterday.. Nimependa this words frm Biour
 
iseee kama kawa ndugu yangu. duu hawa watu wapo serious sana. unaona unavyowajibika?

wako zaidi ya serious aisee, yani tanzania tuna safari ndefu sana ,hivi ukifananisha na bss yetu kwakweli ndio utaamini tuna jifurahisha.

Kwakweli inabidi tuwapige kura sana, aisee wenzetu wanaimba acha tuu.
 
bss? ile ni komedy mkuu, haina tofauti na futuhi coz mie huwa inanifanya nicheke tu mwazo mwisho.
halafu utawasikia majaji eti "umeimba vizuri sana mara level zako ni za mbele" basi ndio nabaki hoiii
 
Umesahau ua a star.. Yaan bss hamna kitu ukikompea na TPF
 
umeona ehh?
Me nafikiri Bss wana mengi ya kujifunza kutoka kwa TPF

Wajifunze tena sanaa. Madam akitaka bss ifanye vzr abadilishe judges.. Huyo mwl wa vocal hata cmwelewag na cion kazi yake amtafute mwl mzr kikubwa wawe serious watafika japo kwa mwendo wa kinyonga comparing wit TPF
 
best huyu Jenifer naona kiinglish majanga. ila nimesoma profile yake kumbe amekulia Tanzania

Hakiwez kivilee aongee tu kiswahili koz its not a bad lugha atii awe proud nayo. Au TPF wapo.strict na english tuu
 
bss? ile ni komedy mkuu, haina tofauti na futuhi coz mie huwa inanifanya nicheke tu mwazo mwisho.
halafu utawasikia majaji eti "umeimba vizuri sana mara level zako ni za mbele" basi ndio nabaki hoiii

wiki iliyopita niliangalia yani nilicheka sana, alaf ubaya zaidi hata host hapendi kusikia mshiriki akiambiwa ameimba vibaya yani analazimisha aambiwe ameimba vizuri. Yani na zile kelele za band +kelele za waimbaji kwakweli nilisikitika sana kuona Bss haina maisha marefu.

Kibaya zaidi washiriki wakiambiwa ukweli mashabiki wanakuja juu?kuna kipindi fulan p.funk na salam jabir waliandikiwa makala heti wawe na ubinadamu heti kisa kuwambia ukweli washiriki.

Huwa najiuliza ni kitu gani tanzania tunaweza kukifanya vizuri?
HIVI HAWA WAANDAJI WA BSS WANAANGALIA KWELI TPF?
 
huwa wanaangalia coz kuna mwaka niliwahi kuwasikia wanamjaji mtu kwamba level zake ni za TPF
 
Wajifunze tena sanaa. Madam akitaka bss ifanye vzr abadilishe judges.. Huyo mwl wa vocal hata cmwelewag na cion kazi yake amtafute mwl mzr kikubwa wawe serious watafika japo kwa mwendo wa kinyonga comparing wit TPF

Hivi kweli ni fair kumuweka rich mavoko au wakina lamar watoe marks?

Hivi kweli Majudge wetu wako seriou
 
huwa wanaangalia coz kuna mwaka niliwahi kuwasikia wanamjaji mtu kwamba level zake ni za TPF

hila washiriki wa kule huwa wana niacha hoi pamoja na majudge wao.
Napale hakuna mwalimu wa music kabisa maana hakuna maendele kabisa.
 
Hivi kweli ni fair kumuweka rich mavoko au wakina lamar watoe marks?

Hivi kweli Majudge wetu wako seriou

I don't think so.. Wanakitivo ndo madai yao. Uwii unacheka ukiangalia at the same time unakacrika
 
hila washiriki wa kule huwa wana niacha hoi pamoja na majudge wao.
Napale hakuna mwalimu wa music kabisa maana hakuna maendele kabisa.

Mwl nae anamponda mwanafunz wake kwa kusema "haufundishiki na hakuna mwanafunzi mbishi km ww" hv is it making sence kwa mwl kusema vile mbele ya kadamnac..on ma side niliona ni jinc gani aliprove kufeli kwake
 
Back
Top Bottom