Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Little Angel si umenfunga kofuli na funguo unazo kwenye pochi yako jaman!
 
Last edited by a moderator:
shaa mwenyewe anakupa siri ya penzi my lover lover Little Angel
 
Last edited by a moderator:
habari za asbh wapendwa, ngoja nianze usafi tu sasa nipke na chai jamani
 
Daaaagh sasa hawa hawajui kama tuna usingizi??...aaargh wameenda kuchakachua??...na lazma wapate tabu mana mshindi wamemtoa MELISA sasa waliobaki wote duanzi tu wampe nani hawajui
 
kulala muhmu Little Angel hata kama masaa 2. Ebss wanazngua kwel.
 
Last edited by a moderator:
Daaaagh sasa hawa hawajui kama tuna usingizi??...aaargh wameenda kuchakachua??...na lazma wapate tabu mana mshindi wamemtoa MELISA sasa waliobaki wote duanzi tu wampe nani hawajui

nawashanga! mshindi wamemtoa sasa cjui watampa nani? ovyoooooooo
 
atoto si ulisema unaenda kuboresha ndoa? Au umesusiwa? Hahaha
 
Last edited by a moderator:
atoto si ulisema unaenda kuboresha ndoa? Au umesusiwa? Hahaha

mwenzangu mpaka hapa ndoa yenyewe ishavunjika leo, bora tu nimalizie ncjepigwa vikumbo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom