mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,217
nakupa tips kidogo zitasaidia
jua tu kukata viuno,kurukaruka na kusema "piga keleleeeee"...tafta wahkaji kumi wenye simu wape hamasa ya kupiga kura...ofcossssssssssssssssnna sie tutakuunga mkono hela ziende kwa mwana jf...ila viuno,kurukaruka na kelele zingatia sana

duuuh mwakani nami nakwenda maana washanitibua, bss co lzm ujue kuimba ndio ushinde