Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
Last edited by a moderator:
aiii nyie msilale bhana.. mi sina usingiz
huyu chilambo ni wimbo wake huo ama anaendeleza ule ujinga wa kukopi?
mi tameza piriton soon
afadhali mmerudipo huku..nlbaki mwenyewe.
haya sasa Little Angel Maina thadei karudi jukwaani....hahahahahaha
afadhali mmerudipo huku..nlbaki mwenyewe.
madam rita asipobadlsha haya mashndano yatakmbiwa na watazamaji mwaka ujao
we atoto mi ni baba