Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
atoto si ulisema unaenda kuboresha ndoa? Au umesusiwa? Hahaha
hahahaaa..... Leo na siku ya tusker.. lazima iote nyasi..
Last edited by a moderator:
atoto si ulisema unaenda kuboresha ndoa? Au umesusiwa? Hahaha
haya no matokeo ya kutokuwa na muda wa kutosha.
wangefunga upigaji kura mapema yasingekuwa hi yo..
wanakarbia kumtangaza "waliomteua"
cjui ndio utaratibu gani huu sasa kura zinapigwa mpaka mwisho!! kweli bss kimeo, mvuto kushney
mshindi ni......emmanuel msuya
hahahaaa..... Leo na siku ya tusker.. lazima iote nyasi..
mshindi ni......emmanuel msuya
jamani ndo wamempa ima
hahahaha poole Little Angel ulishndwa hata kutumia nafasi ya u Angel wako kutabir kwa uhakika?
hahahaa..don't plz!
sikuziona bana
duuuh mwakani nami nakwenda maana washanitibua, bss co lzm ujue kuimba ndio ushinde