Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,863
- 14,349
Ila bado sana safari zote walizofunga kutafuta vipaji ndio wamepata hawa.hata walioenda escape 1 wana moyo aisee.ngoja nilale zangu nipalilie ndoa
kwi kwi na matangazo yamekatika lol majanga.
Ila bado sana safari zote walizofunga kutafuta vipaji ndio wamepata hawa.hata walioenda escape 1 wana moyo aisee.ngoja nilale zangu nipalilie ndoa
ndio nin tena hii tbc?? Yani usngz wote umekuwa upuuzi??
mi imekata huku, star times kimeo...melisa anaimbaje?
mapi tulaleni tu jameni
hapana chezea tbc wewe
mapi tulaleni tu jameni
hivi kiingilio kilikuwa sh.ngapi? maana sielewiiiiii!!! watu wana moyo
hahaaaa! kwakweli ni balaa, mie na ucngizi umekata kabisa ningeshalala zamanii
whaaaaaaaaat!!! this is shit, sasa hawa mbona wanamtoa mtu pekee mwenye vocal?? bora nikalale washaniudhi
mmh hivi kuilefusha hivi ndio nini?
yani ebss bado sana, yaani nothing wild abt it
wapendwa mi nipo kitandani nimechoka kuangalia. mnipe updates tu. haa kitu gani hakiishi li stage lenyewe lina mitaa ya mirangi mibaya inaumiza macho kama nini.
wapendwa mi nipo kitandani nimechoka kuangalia. mnipe updates tu. haa kitu gani hakiishi li stage lenyewe lina mitaa ya mirangi mibaya inaumiza macho kama nini.