Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

sa kama hakuna mwenye kuchangamsha atoto unadhan kunamtu atavutiwa kutunza?
 
Last edited by a moderator:
weka miguu kwenye karai lenye maji baridi DEMBA
 
Last edited by a moderator:
Mwaka huu watu wamegoma kutunza?hata jero hakuna dah!

hawavutii watu kuwatunza, unaweza ukajikuta unacnzia, bora wangeenda na popcorn maana ni km kuangalia movie kwenye theater
 
hahahaha DEMBA afadhali umenishtua.
 
Last edited by a moderator:
mi imekata huku, star times kimeo...melisa anaimbaje?
 
DEMBA hiyo tabia ya kucnzia mapema hivyo umeianza lini? tbc jamani kweli ni tv ya kata co ya taifa, very weak
 
Ila bado sana safari zote walizofunga kutafuta vipaji ndio wamepata hawa.hata walioenda escape 1 wana moyo aisee.ngoja nilale zangu nipalilie ndoa
 
hii stage sijaipenda kabisa ina igiza kiasi kwamba performer anakuwa wala haonekani vizur na hilo li screen nyuma ndio linaharibu tu hiyo mirangi rangi hovyoo kabisa
 
ndio nin tena hii tbc?? Yani usngz wote umekuwa upuuzi??
 
Back
Top Bottom