kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,222
- 1,670
"Tanzania Vs Ivory Coast World Cup Qualification CAF 2014, today June 16, 2013 at the National Stadium Dar es Salaam".
Ni leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kusaka safari ya Brazil mwaka 2014
Iwapo Stars itamaliza ya kwanza kwenye kundi lake, itaungana na timu nyingine tisa zitakazoongoza makundi mengine, ili kucheza hatua ya mtoano ambako timu tano zitafuzu Kombe la Dunia2014 kutoka nchi za Afrika.
Ili kusonga mbele, Taifa Stars italazimika kushinda mechi zake zote tatu na kuomba Morocco iifunge Ivory Coast mechi ya mwisho.
===============
UPDATES:
===============
UPDATES:
===============