CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
Kwenye kakioo kangu mkuu!Mkuu hapo hatuchomoki!! Uko taifa au nawewe kama nayeangalia kupitia JF?
Kwenye kakioo kangu mkuu!Mkuu hapo hatuchomoki!! Uko taifa au nawewe kama nayeangalia kupitia JF?
Sawa,lakini lasajiliwa jangwani!Achana na mambo ya usajili mkuu kwa sasa tuko serious na mambo ya kitaifa.
Achana na mambo ya usajili mkuu kwa sasa tuko serious na mambo ya kitaifa.
Moko moko!Ngapi ngapi?
Mtakaa kujadili usajili tu na wachezaji mnaowaona ni wa Simba baadaye msimu ukikaribia kuanza hakuna mtakalokuwa mmefanya na mwisho wa msimu mnafukuza M/kiti, Kocha na Kapteni wa timu.Sawa,lakini lasajiliwa jangwani!
Ni kweli kabisa leo simba hatoki hapa!Mkuu hapo hatuchomoki!! Uko taifa au nawewe kama nayeangalia kupitia JF?
Hawa nao wanatushinda hapahapa nyumbani?