Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

mboga za iringa mbaya sana, wewe badala ya kula utakuwa unavuta moshi wake, kwa hiyo maximo wako na kina ivo walikuwa hawafungwi.

bora zako za arusha hizo ee? Maana hizo ukipoluza unashindwa kuona kilichokuwapo wakati wa maximo..!!
 
Bila kubebwa ngoma ilikuwa isha kula kwetu hiyo.
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza,na kama haujakiona kitu ni bora kukaa kimya....Hajabebwa mtu,tumewazidi kimchezo na hata penati ni ya ukweli kabisa maana jamaa kaunawa mpira....Sasa sijui ulitaka refa aache....
 
Back
Top Bottom