Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

Tungekuwa na mchezaji mwengine anaitwa Kalevi labda tungekuwa 2-1 sasa hivi.
 
Ngoja niongee na Aboubakar Salum "Sure Boy" Original atupe huyu Dogo wake,tuimarishe pale kati
 
The BBC's Emmanuel Muga says that Tanzania have been very poor in the air so far in this match and have wasted a lot of good crosses.
 
La la la la gooo,nini sasa hawa Simba ooh sorry Taifa Stars na kigugumizi pale kati
 
Sawa,lakini lasajiliwa jangwani!
Mtakaa kujadili usajili tu na wachezaji mnaowaona ni wa Simba baadaye msimu ukikaribia kuanza hakuna mtakalokuwa mmefanya na mwisho wa msimu mnafukuza M/kiti, Kocha na Kapteni wa timu.
 
Kimahesabu huyu Dogo Domayo anawa'let down wenzake,anatakiwa awadondoshee Samatta na Boban pale kati asing'ang'anie kupiga mashuti tu
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom