Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

Mboga za Iringa mbaya sana, wewe badala ya kula utakuwa unavuta moshi wake, kwa hiyo Maximo wako na kina Ivo walikuwa hawafungwi.

Mkuu hiyo mboga siijui, ndo mboga yako nini? maana wanasema asimuliaye mvua ujue imenyeshea
 
GOAL Ethiopia 1-0 Central African RepublicSaid Saladin scores for the hosts in Addis Ababa against CAR - sorry Moynul (1335) Hata hawa jamani wanajuwa Goli likowapi sio sisi Fungeni huko Tanzania kutakuwa hapakaliki kama Taifa stars wakishindwa kushinda leo Naomba Uwanja wa Taifa uvunjwe tu kujengwe Mashule mazahanati na Flat walioripuliwa gongolamboto na mbagala wahamie hapo tushachoka.
 
wachezaji wetu kila kitu wanataka kufanya kama kocha anawavyowafundisha, muda mwingine nafasi binafsi ya mchezaji haionekani
 
wadau its still early,may be they shall make it
Mkuu, hata CCM tulikuwa tunawapa kura hivyo hivyo kwa kusema "May be they will make it". Matokeo yake unajua!! Dawa nii kufumua fumua kila kitu! rudisha hamasa kwenye UMITASHUMITA, UMISETA na UMIVYUTA! tutapata vipaji vya maana siyo hawa jamaa!!
 
Hili PambanO basi hata Karedio hakatangazi? itabidi Jamiiforum ianzishe Radio nao yaishe.
 
cna la kupoteza,cjivunii tanzania chini ya magamba..lolote likitokea its okey for me..natabiri tunapigwa tatu....
 
Ndo maana tunamsajili huyo Dogo No. 20 pale Jangwani,hili halina mjadala
 
Back
Top Bottom