Mara nyingi timu huchomoa kipindi cha pili. Ndio maana mikia wapo kimya hadi kipenga cha mwisho ndio tutawaona humu na kelele zao kama watakuwa wameshinda.
Jamani tuweni waungwana, hivi timu yetu ni mbovu kiasi hicho? acheni mambo yenu bana ya kuona wachezaji wazuri wako kwenu, na mngekuwa na timu yenye vipaji vingi na bora kama Azam sijui ingekuwaje.