Naamini Diamond atarudi na mtumbuizaji bora hizi ni hisia zangu maana hizo category nyingine zimekaa vibaya sana.
daimond mshindi kwenye BEST LIVE ACT,siamini jamani
Nipo binamu hapa roho inapwita huyu mbwa sijui atachukua tuzo
Nnafuraha hapa uwiiii ngoja niendelee kuinua glass tuWeweeeeee bana achana na watu ya kwetu moja hiyooooooooo.
Ahadi ni deni...
Hope sauti soul will win as best group